NAMWAMINI DR. WILBROAD, MWANA WA SLAA, NDUGU YETU,
ALIYEPITIA VIKWAZO VINGI KWA HUJUMA ZA 'CCM' AKATESWA KWA KASHFA ZA NDOA, AKADHIHAKIWA,AKAPIGWA,AKAONYESHA MSIMAMO; SIKU YA SIKU AKASIMAMA KWA KISHINDO; AKAPAZA SAUTI,AMEKETI MKONO WA KUUME KUTETEA HAKI ZA WATANZANIA; KUTOKA HUKO ATAKUJA KUWAHUKUMU MAFISADI.
No comments:
Post a Comment