'SALA YA BABA YETU KIKWETE'

EE KIKWETE ULIYETUFILISI,
JINA LAKO USANII MTUPU,
UTAKALO LIFANYIKE BAGAMOYO TU,
UTUPE LEO MABILIONI YETU YA EPA, UWAPELEKE MAFISADI WOTE MAHAKAMANI,
UWAPE WASTAAFU PESA ZAO,
UWASAMEHE WAFUNGWA HASA BABU SEYA, KAMA ULIVYOMSAMEHE LOWASA,
USITUTIE KATIKA MIKATABA FEKI,
KWA KUWA UFISADI NI FANI YAKO NA UWONGO HATA MILELE,
NA UANGUKE KWENYE UCHAGUZI UJAO KAMA UNAVYOANGUKA OVYO JUKWAANI.
AMINA

No comments:

Post a Comment